Home PROMOTE YOUR MUSIC

PROMOTE YOUR MUSIC

JE WEWE NI MSANII? KUMBUKA BIASHARA NI MATANGAZO KWA UPANDE WA WASANII WENGI WAMETOKA KWA NJIA YA MTANDAO NA WAMEFAHAMIKA WEWE UMESUBIRI NINI?

1: Tuma Wimbo ukiambatanisha Picha (Cover photo) ya Msanii Kupitia Njia Zifuatazo;

(i) Email: Syli4real@gmail.com
(ii)WhatsApp namba: 0766015474

2: Pia Wewe kama Msanii Utaweza Kulipia Tsh. 15000/= (Elfu kumi na Tano tu) kwa Audio moja. Na kama ni Audio Na Video utalipia Tsh. 25000/= (Elfu Ishirini na Tano tu) na Kwa Video Peke yake ni Tsh. 20000/= (Elfu Ishirini tu)

3: Njia Za Malipo:
(i) M-PESA: 0766015474 (Sylivester Superius, Jina la Akaunti.)
(ii)Tigo-Pesa: 0715226780 (Sylivester Superius, Jina la Akaunti.)
(iii) Airtel Money: 0688754220 (Sylivester Superius, Jina la Akaunti.)
(iv) Kama upo Nje ya Tanzania Tafadhali Lipia Kupitia WESTERN UNION.

4: Baada ya Kulipia Zingatia na utume Vitu Vifuatavyo;
(i) Jina la Msanii
(ii) Jina la Wimbo
(iii) Picha ya Msanii (Picha ya Wimbo)

Baada ya Kufanya Hivyo Vyote Hapo Juu Piga simu au Tutumie Ujumbe Mfupi Kupitia Vodacom: +255766015474
Tigo: +255715226780
Airtel: +255688754220
Email: Syli4real@gmail.com

JIUNGE NASI PIA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII

FACEBOOK
TWITTER
INSTAGRAM
PIA WAWEZA KUDOWNLOAD APP YETU KATIKA SIMU YAKO BOFYA HAPA

ONYO
HUTAKIWI KUPIGA SIMU KAMA UNA SHIDA INAYOTOFAUTIANA NA KAZI ZETU
NB: SHERIA ZITACHUKULIWA

TUMA SMS ENDAPO NAMBA YA SIMU HAIPATIKANI

NDUGU MTEJA KUMBUKA BIASHARA NI MATANGAZO BADO HUJACHEREWA
BY (SYLI CLASSIC) SYLIVESTER SUPERIUS KASSA